'Figo yangu haifanyi kazi'
Huwezi kusikiliza tena

Patrick Kilonzo: Ameishi na maradhi ya figo kwa miaka minne

Patrick Kilonzo, aligonga vichwa vya habari miaka miwili iliyopita kwa kujitolea kuwapatia wanyamapori maji ya kunywa baada ya Kenya kukabiliwa na ukame mbaya. Kilonzo hata hivyo anaugua maradhi ya figo. Hapa anaelezea jinsi anavyokabiliana na maradhi hayo.

Mada zinazohusiana