Kenya v Tanzania: 'Patachimbika leo'
Huwezi kusikiliza tena

Kenya v Tanzania: Mashabiki wanasemaje?

Katika mechi ya kufa kupona timu ya Tanzania Taifa Stars inakutana ana kwa ana leo na Harambee stars ya Kenya uwanjani kwenye michuano ya kombe la mataifa ya Afrika kutafuta pointitatu muhimu.

Mada zinazohusiana