Derby ya Afrika Mashariki
Huwezi kusikiliza tena

Gumzo la Derby ya Afrika Mashariki Afcon laendelea

Ni mechi ambayo ilikuwa ikisubiriwa na wengi. Derby ya Afrika Mashariki baina ya nyota wawili, Taifa Stars na Harambee Stars. Ilitabiriwa, ikafanyiwa mzaha kwenye mitandao na mwishowe ngoma ilitamba lakini gumzo bado linaendelea.

Mada zinazohusiana