Mpira wa miguu wa wachezaji 4 tu
Huwezi kusikiliza tena

Ubunifu wa mpira wa miguu wa wachezaji wanne Msalatu huko Dodoma

Je umewahi kuwaza timu ya mchezo wa mpira wa miguu ikiwa na wachezaji wanne pekee tofauti na kumi na moja kama tulivyozoea? Mtanzania mmoja amebuni mchezo wa mpira ambao sheria zake ni tofauti kabisa na ule mpira tuliouzoea.

Aboubakar Famau, amemtembelea mbunifu huyo Kijida Paul na kushuhudia jinsi mpira huo unavyochezwa huko mkoani Dodoma.

Mada zinazohusiana