Jonny Addis: Tazama alivyofunga goli maarufu la David Beckham miaka 23 baadaye

Mchezaji wa klabu ya Ballymena Jonny Addis alifunga bao zuri kutoka karibu na eneo la lango lake katika ligi ya Ireland dhidi ya klabu ya Lane.

Bao hilo lililowasisimua mashabiki wa kandanda kote duniani lilifungwa katika maadhimisho ya miaka 23 tangu Beckham kufunga goli hilo lililojipatia umaarufu mkubwa dhidi ya Wimbledon katika uwanja wa Selhurst