'Ninapenda kupiga danadana, kwasababu ni kipaji changu'
Huwezi kusikiliza tena

'Ninapenda kupiga danadana, kwasababu ni kipaji changu'

Chinonso Eche ni mpiga danadana mwenye umri wa miaka 11 kutoka Nigeria anayetamani kukwea katika jukwaa la kimataifa.

Alianza kujinoa kipaji akiwa na umri wa miaka minane baada ya kutazama video za wachezaji wa kimataifa wakiwemo Lionel Messi na Jay-Jay Okocha wa Nigeria.

Eche, anatumia kipaji chake kuwatumbuiza wenzake shuleni na ameielezea BBC Sport Africa kuhusu ndoto yake ya kutaka kuvichezea vilabu vikubwa akiwa mkubwa.

Mada zinazohusiana