Goalkeeper scores from inside own box
Huwezi kusikiliza tena

Kipa wa Chivas Guadalajara Antonio Rodriguez afunga goli la ajabu nchini Mexico

Kipa wa Chivas Guadalajara Antonio Rodriguez afunga goli kutoka katika goli lake wakati timu yake ilipoibuka mshindi kwa magoli 3-1 dhidi ya klabu ya Veracruz katika ligi ya MX nchini Mexico

Mada zinazohusiana