Nigeria au England, Maro Itoje atashabikia timu gani?
Huwezi kusikiliza tena

Maro Itoje: Je mchezaji huyo mwenye mizizi yake Nigeria ataiwakilisha England au Nigeria?

Maro Itoje, ambaye wazazi wake walizaliwa Nigeria amejipata njia panda kuhusu uwakilishi wa taifa lake .

Anasema anajiona ni mtu wa mataifa yote mawili na wala haoni ugumu kuondoa tofauti iliyopo

Mada zinazohusiana