Babu arushiana makonde na kibaka aliyetaka kumuibia pesa zake

Babu arushiana makonde na kibaka aliyetaka kumuibia pesa zake

Ni kama filamu. Babu wa miaka 77 alikuwa akitoa pesa kutoka kwenye mashine ya ukutani. Kibaka wa umri wa makamu alimnyatia na kujaribu kumpora, lakini babu akadinda kuwa mnyonge, akamkunjia ngumi na kurudisha mashambulizi.

Tazama video.