Mbwana Sammatta 'Mchezo ulikuwa mgumu upande wetu'

Mbwana Sammatta 'Mchezo ulikuwa mgumu upande wetu'

BBC ilipata fursa ya kipekee ya kufanya mahojiano na mshambuliaji wa Aston Villa Mtanzania Mbwana Sammatta mara baada ya mechi ya finali ya kombe la Carabao ambapo Manchester City waliibuka washindi.

Sammatta aliifungia Aston Villa bao la pekee.