Afungwa siku thelathini kwa kulamba 'Ice Cream'

Afungwa siku thelathini kwa kulamba 'Ice Cream'

Mwanamme mmoja kutoka Texas aliyejirekodi akilamba Ice cream na kisha kuirudisha kwenye jokovu katika duka la Walmart amefungwa kwa siku 30. D'Adrien Anderson pia amepewa kifungo cha nje cha miezi sita na kulipa kampuni ya Ice Cream dola elfu $1,565. Nini maoni yako kuhusu tukio hili?sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBCNewsSwahili.