Ntando Mahlangu ni mwanaridha mlemavu kutoka Afrika kusini

Ntando Mahlangu ni mwanaridha mlemavu kutoka Afrika kusini

Ntando Mahlangu alishinda medali ya wanariadha walemavu akiwa na umri wa miaka 14 , wakati aliposhinda medali ya fedha katika mita 200 michezo ya Olimpiki ya Rio 2016 - ikiwa ni miaka miwili tu baada ya kuanza kushiriki mashindano ya mchezo huo.

Mwaka huu , alijiongezea mafanikio wakati alipojishindia medali ya dhahabu katika mbio za mita 200 upande wa wanaume katika kuruka long jump (T63) mjini Tokyo. Kuruka kulikomshindia dhahabu kuliweka rekodi ya mita 7.17 licha ya kwamba alianza mazoezi wiki sita kabla ya michezo hiyo.

Akiwa na siku njema zijazo zenye mafanikio katika riadha hiyo ya uwanjani , kutokana na ulemavu wake wa mikono na mwenye unmri wa miaka 10 - alichanganya ufanisi wake wa riadha na elimu yake . Mwezi Aprili alivunja rekodi ya dunia katika mbio za mita 200 upande wa wanaume.