Capello atangaza kikosi cha England

Meneja wa England Fabio Capello amefanya uchaguzi wa kushangaza kwa baadhi ya wachezaji wa awali 30 wa kikosi cha Kombe la Dunia.

Image caption Capello atangaza wachezaji 30 wa England

Wachezaji ambao hawajawahi kuchezea timu ya taifa Adam Johnson na Michael Dawson wamechaguliwa pamoja na mchezaji mwenzake Dawson katika Tottenham Tom Huddlestone.

Jamie Carragher amerejeshwa tena baada ya kustaafu kuchezea timu ya taifa, wakati mlinzi mwenzake Ledley King na Gareth Barry aliye majeruhi wameingizwa katika kikosi hicho.

Scott Parker, Stephen Warnock and Darren Bent are chosen, with the final 23-man squad to be announced by 1 June.

Chini ya kanuni za Fifa, Capello anaruhusiwa kuingiza katika kikosi chake wachezaji 23 ambao hawakuwemo katika uteuzi wa awali.

Majina ya Wachezaji 30 wa England

Walinda milango: Joe Hart, David James, Robert Green.

Walinzi: Leighton Baines, Jamie Carragher, Ashley Cole, Michael Dawson, Rio Ferdinand, Glen Johnson, Ledley King, John Terry, Matthew Upson, Stephen Warnock.

Wachezaji wa kiungo: Gareth Barry, Michael Carrick, Joe Cole, Steven Gerrard, Tom Huddlestone, Adam Johnson, Frank Lampard, Aaron Lennon, James Milner, Scott Parker, Theo Walcott, Shaun Wright-Phillips.

Washambuliajicapello Darren Bent, Peter Crouch, Jermain Defoe, Emile Heskey, Wayne Rooney.