Chelsea kumhonga Sturridge

Imebadilishwa: 24 Disemba, 2012 - Saa 15:56 GMT

Chelsea imetangaza kua itampa mshambulizi wake Daniel Sturridge pauni milioni moja nukta tano kati ya pauni milioni kumi na mbili atakazosajiliwa nayo na klabu ya Liverpool.

Chelsea imeamua kumpa mchezaji huyo kiasi hicho ili kumshawishi kujiunga na Liverpool mwezi ujao.

Ripoti zilisema kuwa mchezaji huyo alifanyiwa uchunguzi wa kimataifa hiyo jana na klabu ya Liverpool, katika harakati za kukamilisha uasajili huo.

Bofya Maelezo zaidi

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.