Matokeo ya CAF 2013 na Ratiba

Ratiba ya mashindano ya kandanda ya kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2013 nchini Afrika Kusini. Tarehe 19 Januari hadi 10 Februar

Nyakati zote ni Afrika Mashariki

Unaweza kuyapokea Matangazo ya michuano hiyo kwenye ukurasa wa BBC wa michezo kwenye lugha ya kiingereza: http://bbc.in/Vyt0cq

Matokeo ya mechi za kundi A

19/01/2013 Afrika Kusini 0 Cape Verde 0

19/01/2013 Angola 0 Morocco 0

________________________________________

23/01/13:

Afrika Kusini 2 Angola 0

Morocco 1 Cape Verde 1

27/01/13:

Afrika Kusini 2 Morocco 2

Cape Verde 2 Angola 1

*Afrika Kusini na Cape Verde zimefuzu kwa robo fainali.

Msimamo kundi B

Matokeo ya mechi za kundi B

20/01/2013 Ghana 2 DRC 2

20/01/2013 Mali 1 Niger 0

_________________________________________________________

24/01/13:

Ghana 0 Mali 0

Niger 0 DR Congo 0

28/01/13:

Ghana 2 Niger 0

DR Congo 1 Mali 1

*Ghana na Mali zimefuzu kwa robo fainali

________________________________________________________

Msimamo wa Kundi C

Matokeo 21/01/13:

Zambia 1 Ethiopia 1

Nigeria 1 Burkina Faso 1

25/01/13:

Zambia 1 Nigeria 1

Burkina Faso 4 Ethiopia 0

29/01/13:

  • Zambia 0 Burkina Faso 0
  • Ethiopia 0 Nigeria 2

Nigeria na Burkina Faso zimefuzu kwa robo fainali

Msimamo wa Kundi D

_________________________________________________________

Matokeo 22/01/13:

  • Ivory Coast 2 Togo 1
  • Tunisia 1 Algeria 0

26/01/13:

Ivory Coast 3 Tunisia 0

Algeria 0 Togo 2

30/01/13:

  • Ivory Coast 0 Algeria 0 (inaendelea)
  • Togo 1 Tunisia 1(inaendelea)

*Ivory Coast imefuzu kwa robo fainali

Quarter-finals

02/02/13:

Ghana 2-Cape Verde 0

Afrika Kusini 1 Mali 1

03/02/13:

Nigeria 2 Ivory Coast 1

Burkina Faso 1 Togo 0

Semi-finals

06/02/13:

Nigeria 4 Mali 1

Ghana 1 Burkina Faso 1( Penalti B.Faso 3 Ghana 2)

Nafasi ya tatu na nne

09/02/13:

Ghana 1 Mali 3

Fainali

10/02/13:

Nigeria 1 Burkina Faso 0

Nigeria bingwa mpya wa AFCON 2013