Manchester United yaongoza bao1-0

Imebadilishwa: 20 Januari, 2013 - Saa 16:43 GMT

Van Persie akishangilia goli

Vinara wa ligi kuu ya England, Manchaster United leo wanapambana na Tottenham Hotspur katika uwanja wa White Hart Lane.

Manchester United inaongoza kwa goli moja lililofungwa na Van Persie katika dakika ya 25.

Huu ni mchezo wa 23 kwa timu zote mbili.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.