Harambee Stars yaongoza 1 Super Eagles 0

Image caption Harambee Stars

Kipindi cha pili kimeanza Mjini Calabar, Nigeria, Harambee Stars yaongoza 1-0

Bao la Kenya lemefungwa na Mshambulizi Francis Kahata dakika ya .

Wachezaji Harambee Stars: Arnold Origi, David Owino, Mulinge Munandi, David Ochieng, Brian Mandela, Victor Wanyama, David Gateri, Johanna Omollo, Jamal Mohammed, Dennis Oliech and Francis Kahata. Coach Adel Amrouche

Wachezaji wa Super Eagles: Vincent Enyeama, Solomon Kwambe, Godfrey Oboabona, Kenneth Omeruo, Elderson Echejile, Sunday Mba, Mikel Obi, Eddy Onazi, Obafemi Martins, Victor Moses and Brown Ideye