Hull yalazimisha sare na Brighton

Haki miliki ya picha Reuters

Na katika michuano ya FA Hull ilitoka nyuma na kulazimisha sare ya bao moja dhidi Brighton na hivyo kulazimisha mechi ya marudiano ili kupata mshindi katika raundi ya tano.

Bao hilo la uchungu kwa nyoyo za wachezaji wa Brighton lilisukumwa wavuni na Yannick Sagbo katika kipindi cha lala salama.