Kikosi bora cha Dunia

Image caption Kikosi bora cha kandanda kwa mwaka 2014

Shirikisho la soka dunia Fifa limetangaza kikosi cha wachezaji bora wa dunia .

Kikosi hicho kinawajumuisha nyota watatu waliokua wakiwania tuzo ya mchezaji bora wa dunia ambao ni Ronaldo,Messi na Neuer.

Kikosi kamili kipa ni Manuel Neuer. Mabeki Philipp Lahm, David Luiz, Thiago Silva na Sergio Ramos

Viungo Andres Iniesta, Toni Kroos, Angel di Maria.Huku safu ya ushambuliaji ikiongozwa na Arjen Robben, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi.