Mancity kutoana jasho na Arsenal

Haki miliki ya picha AFP
Image caption Giroud

ikiungo wa kati wa Mancity Samir Nasri hatakuwepo kwa wiki tatu baada ya kupata jeraha la mguu huku mchezaji Edin Dzeko akiwa hajulikani iwapo atashiriki katika mechi ya leo dhidi ya Arsenal.

Sergio Aguero na Vincent Kompany wanatarajiwa kuanza baada ya kushirikishwa miongoni mwa wachezaji wa ziada wiki iliopita

Upande wa Arsenal Mathiu Dibuchy watasalia nje kwa mda wa miezi mitatu baada ya kufanyiwa upasuaji

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Mancity

Kieran Gibbs hajalukani iwapo atacheza akiwa na jeraha la kisigino ,lakini Calum Chambers anatarajiwa kurudi baada ya kuugua.

Mesut Ozil, Aaron Ramsey na Theo Walcott wote wako katika hali nzuri.