Maumivu yamnyima ushindi Hyvon

Image caption Hyvon Ngetich

Mwanariadha wa Kenya Hyvon Ngetich ameshindwa kutwaa ubigwa wa mbio za marathoni ya Austin huko Texas.

Ngetich alishindwa kumaliza vizuri mbio hizo za mia 50 baada ya kupata maumivu ya goti

Mpaka anaanguka chini mwanaridhaa huyui alikua anaongoza mbio hizo,jopo la madaktari liliangalia hali yake baada ya kukataa kubebwa kwenye kiti cha wagonjwa.

Hyvon alishika nafasi ya tatu katika michuano hiyo ya Riadha ya marathoni.