England hoi kombe la dunia la kriketi

Image caption Mambo uwanjani

Timu ya kriket ya England imeambulia kichapo baada ya kukubali kuchapwa na New Zealand kwa jumla ya wiketi 8.

mchezo huu ulifanyika kwenye uwanja Regional Stadium England waliapata mikimbio 123 huku wakipoteza mikimbio 19.

Kwa ushindi huu New Zealand wanendelea kuongoza katika msimamo wa kundi A wakiwa na alama 6 wakifuatiwa na Austalia wenye alama 2.

England ndio wanaburuza mkia katika kundi hili wakiwa hawajapata alama hata moja baada ya kucheza michezo miwili.