Lidya Ko bingwa wa Gofu Wanawake

Haki miliki ya picha
Image caption Bingwa wa mchzo wa Gofu kwa Wanawake, Lydia Ko

Lydia Ko ametwaa ubigwa wa gofu kwa wanawake katika wa michuano ya wazi iliyokua ikifanyika Australia.

Ko mwenye miaka 17 ni mchezaji bora wa gofu kwa wanawake akiwa na umri mdogo,alianza kucheza kama mchezaji wa kulipwa akiwa na miaka 12.

Mwaka 2012 alikua mchezaji mdogo zaidi kushinda michuano ya LPGA iliyofanyika Canada na kuutetea ubigwa wake tena mwaka 2013

Februari 2,mwaka huu KO alichaguliwa kuwa namba moja kwa viwango vya gofu kwa wanawake.