Sergio Busquet Kusaini mkataba mpya.

Image caption Sergio

Kiungo mahiri wa klabu ya Barcelona Sergio Busquets anatarajia kuongeza mkataba na miamba hao wa soka wa Hispania

Sergio Busquets atasaini mkataba wa miaka minne siku ya ijumaa na kukiwa na kipengele cha kuongez mwaka mmoja.

Mchezaji huyu alietwaa kombe la dunia akiwa na timu ya taifa ya Hispania pia ametwaa ubigwa wa La liga mara nne tangu alipoanza kuitumika timu hiyo mwaka 2008

Busquets, mwenye miaka 26, ameichezea Barca michezo 313 na kutwaa ubigwa wa ulaya mwaka 2009 NA 2011