Serena Williams atinga nane bora.

Image caption Serena Williams

Nyota wa mchezo wa tenesi Serena Williams ametinga katika hatua ya nane bora ya michuano ya BNP huko Indian Wells.

Serena amefanikiwa kufanya vizuri kwa kumshinda Sloane Stephens anayeshika nafasi ya 33 kwa ubora wa dunia kwa seti 6-7 (7-3) 6-2 6-2,

Sloane alipoteza mchezo huu baada ya kushindwa kuhimili mikiki miki ya mpinzani wake aliekua anacheza kwa juhudi kubwa.

Williams alikataa kucheza hapo baada ya kufanyiwa vitembo vya kudharauriwa mwaka 2001.