Mayweather kulinda meno kwa dola elfu 25

Image caption Kifaa cha kulinda meno chenye thamani ya dola za kimarekani dola elfu ishirini na tano,kitahusika kulinda meno ya bondia Floyd Mayweather.

Taarifa kutoka jarida la Forbes la nchini Marekani zinasema Mayweather atatumia kifaa cha kulinda meno (mouth Guard) chenye gharama ya dola za kimarekani elfu ishirini na tano.