Bondia Japhet Kaseba akiinua mikono juu wakati wa kupima uzito kwa ajili ya pambano lake la ubingwa wa Taifa, uzito wa Middle dhidi ya Thomas Mashali ...
Huwezi kusikiliza tena

Maywether na Many gumzo duniani

Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea pambano kubwa na la kihistoria la mchezo wa Ngumi kati ya Bondia Floyd Maywether junior wa marekani na Many pacquiuao wa ufilipino . Nchini Tanzania wadau wa mchezo huo wamekuwa na maoni tofauti tofauti kuelekea pambano hilo, kutoka jijini Dar es salaam Mwanahabari wetu Shedrack Mwansasu amezungumza na Bondia Japhet Kaseba ,je Ni nini maoni yake?.