Victor Wanyama mwaka jana 2014

Image caption Victor Wanyama

Mkenya Victor Wanyama Mugubi siku kama ya leo mwaka jana alikosa safari ya Ubeligiji ambako kikosi cha wachezaji 27 wa Southampton walielekea katika ziara ijulikanayo kama preseason tour.

Wanyama aliondolewa kwenye orodha ya kikosi hicho ili ajiandae kwa michuano ya kufuzu AFCON kwa timu ya nchi yake ya Kenya dhidi ya Lesotho.