Froome ashinda mashindano baiskeli

Haki miliki ya picha Getty
Image caption Mshindi wa mashindano ya baiskeli Chris Froome

Mshindi wa mashindano ya baiskeli yajulikanayo kama Tour de France ,Chris Froome ameweza kushinda kwa mara ya pili tangu aingie kwenye mchezo huo.

Katika mchezo wake wa mwisho huko mjini Paris mshindi huyo Froome aliweza kufanya ushindi huo uwe rahisi kwa kumaliza chini ya muda.

Mwaka huu bado Froome ni mfalme wa michuano hii kwa mwaka mwisho huko mjini Paris mshindi huyo Froome aliweza kufanya ushindi huo uwe rahisi kwa kumaliza chini ya muda .Mwaka huu bado Froome ni mfalme wa michuano hii kwa mwaka huu. Ushindi wa Froome uliokuwa baina ya timu ya Briton na Sky,ambayo iliweza kutoa washindi watatu. Froome amewahi kuishi nchini Kenya wakati akiwa na umri mdogo.