Arsenal dhidi ya Leicester

Mechi za moja kwa moja kati ya Manchester City dhidi ya Tottenham huku Arsenal ikikaribishwa nyumbani na Leicester City.

18.50pm:Gooooooooooal Giroud aifungia Arsenal bao la tano hapa na kufanya mambo kuwa 5-2.

18.45pm:Gooooooal Leicester wapata bao la pili hapa kunako dakika ya 45

Image caption Sanchez

18.37pm:Gooooooooooal Sanchez afunga bao la nne hapa na kuipatia Arsenal mabao 4-1 dhidi ya Leicester.

Haki miliki ya picha PA
Image caption Ramsey

18.28pm:Arsenal yazidisha mashambulizi ikitafuta bao la 4

18.26pm:Leicester inajaribu kuona lango la Arsenal lakini bado bahati haijasimama.

18.14pm:Goooooooooal Alexi Sanchez aifungia Arsenal bao la tatu hapa kunako dakika ya 15

Leicester 1 Arsenal 3

18.00pm: Kipindi cha pili cha mechi kinaanza na

KIpindi cha pili

17.43pm:

Image caption Liecester vs Arsenal

Tottenham 4 - 1 Man City FT

Leicester 1 - 2 Arsenal

Liverpool 1 - 0 Aston Villa

Man Utd 0 - 0 Sunderland

Southampton 1 - 0 Swansea

Stoke 1 - 0 Bournemouth

West Ham 1 - 1 Norwich

17.33pm:Goooooooooal Sanchez aiweka kifua mbele Arsenal hapa ikiwa ni bao lake la kwanza msimu huu.

17.32pm:Mechi ni ya kasi ya hali ya juu hapa huku kila timu ikajaribu kushambulia lango la mwengine kwa kasi

Haki miliki ya picha Getty
Image caption Walcot

17.17pm:Goooooooooal Arsenal yasawazisha hapa kupitia Theo Walcot kunako dakika ya 18

Leicester 1 1 Arsenal

Image caption Leicester
Haki miliki ya picha Getty
Image caption Mahrez

17.12pm: Gooooooooooal Leicester yajiweka kifua mbele hapa baada ya shambulizi la haraka katika ngome ya Arsenal

17.03pm:Walcot na mpira la la apiga nje.do.alikuwa amepata pasi safi sana Walcot lakini hamaki yake ikamfanya kuupiga nje.

dakika ya 4'' Leicester 0 0 Arsenal

17.02pm:Utakumbuka kwamba Leicester ni miongoni mwa timu ambazo hazijapoteza katika msimu huu wa ligi ya Uingereza.

Haki miliki ya picha Getty
Image caption Leicester vs Arsenal

17.00pm:Na MECHI kati ya Leicester dhid ya Arsenal yaanza

16.36pm:Na Mechi inakamilika hapa ikiwa Tottenham ndio timu ya kwanza kuicharaza Mancity katika ligi kuu ya Uingereza.Tottenham 4 1 Mancity

16.24pm:Iwapo matokeo haya yatasalia yalivyo basi itakuwa mara ya kwanza kwa Manchester City kufungwa .

Haki miliki ya picha PA
Image caption Pellegrini

16.20pm:Goooooooal Eric Lamela aipatia Tottenham bao la nne baada ya kumchenga beki na kipa.

Tottenham 4 Manchester City 1

16.13pm:Hata hivyo kuna utata ambao umezuka kwani mabao mawili ya kwanza yaliofungwa na timu zote mbili yanadaiwa kuwa ya kuotea.Ni bao la kwanza la City na lile la kwanza la Tottenham.

16.11pm: Manchester City wafanya mashambulizi katika ngome ya Tottenham lakini bahati haijasimama.Raheem Sterling akosa nafasi ya wazi .

Haki miliki ya picha PA
Image caption Harry Kane

16.03pm:Goooooooooooal Harry Kane hatimaye acheka na wavu hapa baada ya mpira wa adhabu kugonga mwamba na hivyobasi kuiweka mbele Tottenham .Ni Bao la kwanza la Harry Kane msimu huu.

Tottenham 3 Mancity 1

15.57pm: Yaya Toure atolewa hapa ikiwa ni dakika ya 12 ya kipindi cha pili

15.56pm:Nawaona wachezaji Kolo Toure na Kolarov hawaamini kilichowapata.dakika ya 11.Tottenham 2 Man City 1

Image caption LAMELA

15.55pm:Manchester City sasa wanajaribu kila njia hapa ,lakini wachezaji wa Tottenham wanakataa.

15.52pm: Goooooal Tottenham yajiweka kifua mbele kupitia bao lililofungwa na kichwa baada ya kona safi.Mfunganji ni Toby Alderwierd

Tottenham 2 Manchester City 1

15.50pm:Manchester City yaanza kwa kufanya mashambulizi

15.47pm: Kipindi cha pili kinaanza

Image caption Eric Dier

Tottenham 1 1 Manchester City.

Image caption KIpa wa Mancisty alalama

15.30pm:Gooooooal Eric Dier aifungia Tottenham baada ya mashambulizi makali katika ngome ya Manchester City.

Na kipindi cha kwanza cha mpira kinakamilika ikiwa ni Tottenham 1 Manchester City 1.

15.26pm:Manchester City yanusurika chupu chupu hapa baada ya washambuliaji wa Hotspurs wanaoongozwa na mshambuliaji hatari Harry Kane kuimarisha mashambulizi.

15.21pm:Safu ya nyuma ya Tottenham itabidi ifanyiwe marekebisho maana washambuliaji wa City wanazidi kuilemea.

Dakika ya 40 .Tottenham 0 Manchester City 1

Image caption Harry Kane akikabiliwa

15.18pm:Wachezaji wa manchester City wakiongozwa na mshambuliaji nyota Sergio Aguero wakosa mabao ya wazi hapa.

15.16pm:De Bryune ,Sergio Aguerro na Raheem Sterling wanaongoza safu ya mashambulizi ya vijana wa City,Huku Harry Kane akiiwakilisha Tottenham.

Dakika ya 33 Kane akosa bao la wazi.

15.15pm:Kona inayopigwa kuelekea Tottenham dakika ya 30

15.14pm:Manchester City wanaendelea kumiliki mpira hapa huku wakiendelea kufanya mashambulizi katika lango la Tottenham

15.09pm:Goooooooal De Bryune aiweka kifua mbele manchester City dhidi ya Tottenham kunako dakika ya 25 .

Image caption De Bryune

Tottenham 0 Manchester City 1

15.08pm:Timu zote mbili zinajaribu kuona lango la upinzani lakini bado bahati haijasimama.

Image caption Manchester City

15.01pm:

Image caption Tottenham

15.00pm:

14.50pm:Mechi inayoendelea ni kati ya Tottenham na Manchester City

dakika ya 13 Tottenham 0 Manchester City 0

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Manchester City vs Tottenham

14.45pm:

Tottenham 0 - 0 Man City 2.45pm

Leicester v Arsenal 5:00pm

Liverpool v Aston Villa 5:00pm

Man Utd v Sunderland 5:00pm

Southampton v Swansea 5:00pm

Stoke v Bournemouth 5:00pm

West Ham v Norwich 5:00pm

Newcastle v Chelsea 7:30pm