Everton yanyeshea Sunderland

Haki miliki ya picha PA
Image caption Everton zikiumana na Sunderland

Usiku wa kuamkia leo, Southampton wakawabana pumzi Bournemouth kwa kuwapiga bao 2- 0.

Katika mechi hiyo Mkenya Victor Wanyama akatupwa nje kwa kadi nyekundu baada ya kumfanyia madhambi Lee Tomlin.

Baadaye leo jioni tutashuhudia mchezo kati ya Tottenham na Aston Villa.