Radwanska ashinda tenis Singapore

Mpoland Agnieszka Radwanska amembamiza mshindi wa Wimbledon Petra Kvitova huko Singapore.

Utakumbuka kuwa Petra alikuwa amemchapa Maria Sharapova katika Nusu Fainali iliyofanyika jumamosi.

Wakati huo huo Roger Federer ameshinda michezo ya ndani ya Uswiss kwa kumshinda Rafael Nadal.