Manchester City kukabiliana na Leicester

City Haki miliki ya picha EPA
Image caption Manchester City watakutana na viongozi wa ligi Leicester City Jumamosi

Ligi kuu ya soka ya England inatarajiwa kuendelea tena Jumamosi kwa michezo mbalimbali, mechi ambayo bila shaka itavutia wengi ikiwa kati ya Man City na viongozi wa ligi Leicester.

Aston Villa watamenyana na Norwich City, Liverpool watawaalika Sunderland, Newcastle United wacheze dhidi ya West Brom nao Stoke watakuwa wenyeji wa Everton.

Swansea watawakabili Crystal Palace, Watford watakuwa wageni wa Tottenham, na Southampton wawe nyumbani dhidi ya West Ham.

Haki miliki ya picha Getty

Ratiba kamili:

Jumamosi 6 Februari, 2016 (Saa za Afrika Mashariki)

  • Man City v Leicester 15:45
  • Aston Villa v Norwich 18:00
  • Liverpool v Sunderland 18:00
  • Newcastle v West Brom 18:00
  • Stoke v Everton 18:00
  • Swansea v Crystal Palace 18:00
  • Tottenham v Watford 18:00
  • Southampton v West Ham 20:30

Jumapili 7 Februari, 2016

  • Bournemouth v Arsenal 16:30
  • Chelsea v Man Utd 19:00