Yanga kuelekea Mauritius leo

Haki miliki ya picha b

Kikosi cha Yanga inatarajiwa kuondoka leo kwenda Mauritius kwa ajili ya mchezo wa Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Yanga watakwenda kuchuana na wenyeji wao timu ya Cercle de Joachim, Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Curepipe.

Wachezaji waliokuwa majeruhi, Nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro’, kiungo Thabani Kamusoko na mshambuliaji Amissi Tambwe wote watasafiri na timu.

Mkuu wa Msafara huo ni Ayoub Nyenzi, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wakati upande wa viongozi wanakwenda Katibu Mkuu, Baraka Deusdedit na Muro