Rafael Nadal haihofii Zika

Haki miliki ya picha AP
Image caption Rafael Nadal

Kabla ya Mashindano ya Rio Open yanayofanyika wiki hii Mcheza Tenisi Rafael Nadal amesema haviogopi Virusi vya Zika.

Nadal, 29, amesema “Ninantoka nje usiku. Siogopi. Sina shaka. Ikitokea ni bahati mbaya”

Brazil iko katika kiini cha mlipuko wa sasa wa Virusi vya Zika na tayari Shirika la Afya Dunia limeutangaza ugonjwa huo kama dharura ya Dunia katika upande wa Afya