Mashabiki wa Manchester kupinga bei

Haki miliki ya picha Reuters

Mashabiki wa Manchester United wana mpango wa kuipinga Bei ya pauni 71 wanayotakiwa kulipia ili kuona mechi yao ya Europa Ligi dhidi ya Midtjylland hapo kesho.

Mechi kama hiyo hiyo mashabiki wa Southampton walitozwa pauni 22 sasa Mashabiki wa Manchester United wanalalamika wanasema kwani waliopanga viingilio wanadhani mashabiki wa manchester ni matajiri mara tatu zaidi ya mashabiki wa Southampton?