MOJA KWA MOJA:West Ham dhidi ya Sunderland

Fuatilia matokeo ya mechi za ligi ya Uingereza pamoja na matokeo mengine ya ligi za maeneo tofauti duniani hapa.18.00pm:Leicester dhidi ya Norwich imeanza

17.30pm:Dakika za majeraha zinaelekea hapa

West Ham 1-0 Sunderland

17.25pm:Payet na Kouyate kwa upande wa West Ham wanashirikiana vizuri lakini mabeki wa Sundertland wanakataa kata kata

Image caption Kocha wa West Ham

17.23pm:West ham wanafanya badiliko lao la mwisho

17.16pm:Mshambuliaji wa Sunderland Defor anatafuta bao la kusawazisha hapa.Ama kwa kweli bahati haijawapendelea wana Sunderland

16.45pm:Sunderland inafanya mashambulizi katika lango la West Ham

Kipindi cha pili kinaanza.
Image caption Michael Antonio
16.14pm:GOOOAL West Ham yapata bao la kwanza dhidi ya Sunderland

16.08pm:Mkwaju wa adhabu kuelekezwa West Ham.Na unapiga chuma cha goli hapa .West nao pia waepuka

16.04pm:Sunderland waepuka hapa baada ya kombora lililopigwa na mchezaji wa West kupiga chuma

Image caption West Ham dhidi ya Sunderland

15.55pm:West inalishambulia lango la Sunderland lakini bahati haijasimama

15.50pm:West Ham wapata kona ya pili katika kipindi cha dakika mbili.

15.49pm:Mechi imeanza huku kila timu ikijaribu kuipita safu ya ulinzi ya upinzani.

15.45pm:West Ham dhidi ya Sunderland

Image caption Aliyekuwa kocha wa West Ham na ambaye anaifunza Sunderland kwa sasa Sam Alladyce

West Ham XI: Adrian, Byram, Collins, Ogbonna, Cresswell, Noble, Kouyate, Antonio, Payet, Lanzini, Emenike

Sunderland XI: Mannone, Yedlin, O’Shea, Kone, Van Aanholt, Kirchhoff, Cattermole, M’Vila, Khazri, N’Doye,