Ligi ya EPL kurejelewa wikendi

Haki miliki ya picha Reuters

Ligi Kuu ya Uingereza itarejelewa wikendi hii baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa Jumamosi kukiwa kumeratibiwa mechi nane.

Aston Villa watatanguliza kwa kuwakaribisha Chelsea kwao nyumbani, huku Tottenham wakifunga siku kwa mechi ugenini Liverpool.

Ratiba ya mechi:

Jumamosi 2 Aprili (Saa za Afrika Mashariki).

 • Aston Villa v Chelsea 14:45
 • Arsenal v Watford 17:00
 • Bournemouth v Man City 17:00
 • Norwich v Newcastle 17:00
 • Stoke v Swansea 17:00
 • Sunderland v West Brom 17:00
 • West Ham v Crystal Palace 17:00
 • Liverpool v Tottenham 19:30
 • Jedwali la msimamo wa ligi ya EPL
Jumapili 3 Aprili
 • Leicester v Southampton 15:30
 • Man Utd v Everton 18:00