Mshike mshike wa Epl kuendelea kesho

Haki miliki ya picha AFP

Nyasi za viwanja saba zitawaka moto katika mshike mshike wa ligi kuu ya England itayoendelea wikiendi hii.

Wagonga wa nyundo wa London West ham, watakua wenye wa washika bunduki Arsenal, Aston Villa wanaoburuza mkia watakua nyumabni Villa Park kuwakabili Bournemouth.

Matajiri wa Man City watashukuka katika uwanja wao wa Etihad kusaka alama tatu kwa kucheza na West Bromwich Albion, Huku Swansea wakikipiga na Chelsea mchezo utaochezwa katika dimba la Libert.

Michezo itayochezwa hapo kesho ni

Crystal Pale na Norwich

Southampton na Newcastle

Watford na Everton