Rama Dee
Huwezi kusikiliza tena

Tofauti ya nyumbani na ugenini-Rama Dee

Rama dee ni msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, ambaye kwa sasa anaishi na kufanya shughuli zake nchini Australia, kwa sasa yupo mapumzikoni nchini Tanzania na amezungumza na mwandishi wetu Omary Mkambara kuhusu utofauti wa ufanyaji muziki Tanzania ukilinganisha na huko ughaibuni.