Wachunguzi wa UN wasimamisha kazi Syria

Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa huko Syria wamesimamisha kazi kwa sababu za usalama.

Kiongozi anayetetea utawala wa demokrasi nchini Burma Aung San Suu Kyi hatimaye apokea tuzo ya amani baada ya zaidi ya miaka 20 tangu atunukiwe tuzo hiyo.

Prince Nayef wa Saudi Arabia afariki

Raia wa Misri wamchagua Rais atakayechukua nafasi ya Hosni Mubarak

UEFA kuwaadhibu mashabiki wa Croatia kwa kuonyesha chuki za ubaguzi wa rangi.