Ziara ya rais wa Misri Mohammed Morsi China

Imebadilishwa: 29 Agosti, 2012 - Saa 06:52 GMT

Rais wa Misri Mohammed Morsi, yuko ziarani nchini China kama kiongozi mpya wa taifa la Misri katika kampeini yake kuinua uchumi wa nchi hiyo.

Wachambuzi wanasema kuzorota kwa uchumi wa dunia na machafuko nchini Misri, kumesababisha kushuka kwa uwekezaji wa kigeni nchini humo, kuki-ilazimisha Misri kutafuta washirika wapya wa kibiashara na pia msaada kutoka shirika la fedha duniani-IMF.

Wanasema pia kuwa Misri inajaribu kubadilisha sera zake za mambo ya nje kutoitegemea sana Marekani.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.