Meli ya mafuta ya Ugiriki yatekwa nchini Togo

Imebadilishwa: 28 Agosti, 2012 - Saa 15:18 GMT

Maharamia nchini Togo wameshambulia meli ya mafuta ya Ugiriki katika ufuo wa nchi hiyo na kuwateka nyara zaidi ya mabaharia ishirini baada ya tukio la ufyatulianaji risasi.

Shirika la kimataifa la mambo ya baharini, linasema kuwa visa vya uharamia vimeongezeka mara dufu katika pwani ya Afrika Magaharibi huku meli sita zikikamatwa hadi kufikia leo.

Shirika hilo linasema kuwa meli husalia zimetekwa muda mrefu sana sawa ba muda unaotosha kusafirisha mizigo yake.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.