Tamasha la kidini lazua hasira India

Imebadilishwa: 30 Agosti, 2012 - Saa 14:57 GMT


Viongozi wa kidini nchini India wameelezea kughadhabishwa na pendekezo lililotolewa na kuuza haki miliki za utangazaji wa tamasha kubwa zaidi la kidini duniani

Tamasha hili Maha Kumbh Mela ni tamamsha kongwe ambalo hufanywa kila baada ya miaka kumi na mbili katika jimbo la
Uttar Pradesh, kaskazini mwa nchi.

Tamasha hilo huwavutia mamilioni ya watu

Lakini BBC imegundua kuwa serikali inataka kuuza hali miliki ili kugharamia tamasha la mwaka ujao na hata kufanya matangazo ya kibiashara.

Wakosoaji wa hatua hiyo wanasema kuwa hatua kama hiyo ya kuingiza biashara katika maswala kama hayo sio jambo zuri.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.