Mali yaomba msaada wa ECOWAS

Imebadilishwa: 5 Septemba, 2012 - Saa 09:34 GMT

Mabalozi wa Ufaransa wanasema Mali imeomba msaada wa kikosi cha majeshi ya Afrika Magharibi kumaliza mzozo wa kisiasa nchini humo.

Wamesema rais wa mpito wa Mali Dioncounda Traoré ameomba msaada wa kijeshi kuisaidia serikali kutwaa eneo la Kaskazini kutoka kwa wanamgambo wa kiislam.

Muungano wa nchi za Afrika magharibi ECOWAS umejitolea kutuma zaidi ya wanajeshi elfu tatu ili kurejesha amani nchini Mali.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.