China na Japan zazozania visiwa

Imebadilishwa: 11 Septemba, 2012 - Saa 09:04 GMT

China imetuma manowari zake mbili katika visiwa visivyoishi watu Mashariki mwa nchi hiyo na ambavyo inazozania na Japan.

Shirika rasmi la habari Xinhua limesema kuwa serikali inajiandaa kudhibiti visiwa hivyo vya Senkaku nchini Japan.

Hata hivyo vyombo vya habari nchi Japan, vimesema kuwa serikali ya Japan, imetia saini kununua visiwa hivyo kutoka kwa wamiliko wavyo.

Imesisitiza kuwa inafanya hivyo tu kwa nia njema ingawa China hapo awali ilishauriana na balozi wa Japan nchini humo kuhusu swala hilo.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.