Wanablogu matatani Vietnam

Imebadilishwa: 13 Septemba, 2012 - Saa 10:53 GMT

Waziri mkuu wa Vietnam amewataka wanablogu watatu wanaokashifu serikali yake wapate adhabu kali.

Taarifa inayomnukuu waziri mkuu huyo Nguyen Tan Dung imewashutumu wanablogu hao kwa kuandika taarifa za kupotosha zenye uongo na kuwaagiza wafanyakazi wa umma kutozisoma

Wanablogu hao ambao hawajajitambulisha wamekuwa wakichapisha habari kuhusu mvutano wa mamlaka katika nchi hiyo, ufisadi unaowahusisha viongozi wakuu serikalini ambayo vyombo rasmi vya habari haviruhusiwi kuchapisha

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.