Picha za mkewe mwanamfalme zachapishwa

Imebadilishwa: 14 Septemba, 2012 - Saa 10:52 GMT

Maafisa katika kasri la kifalme nchini uingereza wanasema kuwa mwanamfalme wa Uingereza Prince William na mkewe, Kate Middleton wameghadhabishwa na picha zilizochapishwa katika gazeti la ufaransa zikimwonyesha Kate akiwa nusu uchi.

Wamekashifu hatua hiyo ya kuingilia maisha yao binafsi.

Wawili hao wanatafuta ushauri wa kisheria kutoka kwa mawakili wa ufaransa.

Picha hizo zilipigwa wakati William na Kate, walikuwa likizoni katika ukumbi wa kibinafsi.

Ufaransa ina sheria kali kuhusu maisha ya faragha ya watu na ni kosa la jinai kuchapisha habari za kibinafsi kuhusu mtu bila idhini yake.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.