Wahamiaji wa Ethiopia warejeshwa kwao

Imebadilishwa: 21 Septemba, 2012 - Saa 16:22 GMT

Wahamiaji kutoka Ethiopia walioko Yemen wame safirishwa kwa ndege kurejeshwa Addis Ababa.

Shirika la kimataifa la Uhamiaji, IOM, linasema kuwa waethiopia zaidi ya mia tano wanarejeshwa nyumbani juma hili.

IOM inasema hao ni kati ya waethiopia elfu nne wanaolala nje, Kaskazini Magharibi mwa Yemen, baada ya kushindwa kuingia Saudi Arabia ambako wakitaraji kupata kazi.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.