Waandamana kutaka vikosi vya ECOWAS

Imebadilishwa: 11 Oktoba, 2012 - Saa 14:33 GMT

Maelfu ya raia Mali wamefanya mandamano katika mji mkuu wa Mali Bamako wakitaka kupelekwa mara moja kwa vikosi vya muungano wa ECOWAS Kaskazini mwa nchi hiyo.

Waandamanaji hao waliobeba mabango waliwakashifu wanamgambo wa kiislamu walioiteka miji Kaskazini mwa nchi hiyo mapema mwaka huu.

ECOWAS inapania kupeleka vikosi zaidi vya wanajeshi elfu tatu iwapo itapata uungwaji mkono wa mataifa ya kigeni

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.